Sunday, 11 October 2015

PICHA-SEKI WA ORIJINO COMEDI ALIVYOVUTA JIKO RASMI WIKI ILIYOKWISHA.

Producer wa kipindi cha Original Komedi Seki Wiki iliyokwisha alifunga ndoa rasmi na kuachana na Ukapera huku harusi yake ikihudhuriwa na wasanii wa Original Komedi pamoja na marafiki zake wengine.

No comments: