Wednesday, 18 November 2015

AHADI YA Mh,RAIS KUHUSU TANZANIA YA VIWANDA YAANZA KUTEKELEZWA RASMI.

Rais J.P.Magufuli
Kati ya Ahadi alizoahidi rais wa awamu ya tano,wakati wa kampeni zake kuelekea Ikulu ni kurudisha Tanzania ya viwanda,kwa kuvifufua na kuvifuatilia viwanda vyote vilivyobinafsishwa na serikali ambavyo havionyeshi tija yoyote kiuendelezaji.......
Hii hapa ni Atua ya kwanza kabisa kiutendaji kwa serikali hii ya awamu ya tano,katika safari ya kuitimiza ahadi hiyo kwa wananchi wa Tanzania....... 

No comments: