Tuesday, 10 November 2015

BIG BROTHER RICHARD KURUDI KWA KISHINDO KWENYE FILAMU{BONGO}


Baada ya kutosikika wala kuonekana kwa muda mrefu muakilishi wa Tanzania na mshindi wa msimu wa pili wa shindano la Big brother Africa la mwaka 2007. RICHARD BEZUIDENHOUT ametangaza rasmi kuvunja ukimya huo na kurejea kwenye ulimwengu wa filamu za Bongo.

No comments: