Maoni yangu
Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya kitoweo bila ruksa ya daktari wa mifugo au mamlaka husika. Hata kwenye machinjio yetu lazima daktari athibitishe kuwa kitoweo ni salama kwa matumizi ya binadamu.
Nawasikitikia sana hao waliiondoka na kitoweo, nakumbuka mwaka jana au juzi huko Mtwara watu waliharisha na kupoteza maisha kwa sababu ya samaki waliokuta kafa ufukweni.
LazIma Watanzania tuthamini afya yetu, hivi kama huyo nyangumi kawa poisoned si anaweza kuleta madhara makubwa kwa walaji.

No comments:
Post a Comment