Mamlaka Saudi imezuia jaribio la kusafirisha kiasi kikubwa cha pombe
"bia" kuingia katika Utawala wa nchi hiyokatika bandari ya Batha.
Wafanya magendo hao wamejitahidi kuingiza bidhaa kwa njia ya ubunifu, kwa kuwekwa mabango yanayoonyesha kwamba vinywaji hivyo ni "Pepsi" juu ya Kifungashio cha"bia". Lakini jaribio hilo limeshindwa baada ya Mamlaka ya Forodha Saudi Arabia kugundua.
Yalifikia Kiasi Mabox 48000, alisema Mkurugenzi Mkuu wa Forodha Batha Abdul Rahman : Aliwasili kwa nia ya Kufuata utaratibu wa Forodha ya vinywaji vilivyokuwa kwenye lorikwa lengo la kusafirisha kwenye moja ya nchi jirani, Wakati tunnangalia Mzigo kabla ya kuanza mchakato, tukagundua kwamba alisema ni "vinywaji baridi," Wakati wa taratibu za ukaguzi kwenye lori na shehena yake zikiendelea,tukagundua kumbe ile alama ya Pepsi, Ndani yake ni bia.

No comments:
Post a Comment