Sepp Blatter. |
Blatter na Platini, walisimamishwa mwezi octoba na kamati ya maadili ya Fifa kwa muda wa siku tisini kupisha uchunguzi juu ya tuhuma za rushwa zinazowakabili viongozi hao wa juu.
Wote wamekana makosa yao na sasa wamekata rufaa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS)
Platini anatarijia kuwasilisha utetezi wake katika mahakama ya michezo ya Cas siku ya ijumaa kwa mujibu wa mwanasheria wake Thibaud d'Ales.
No comments:
Post a Comment