Thursday, 19 November 2015

Spika Job Ndugai alivyopokea bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mpya.. (+Video)

Kikao cha Bunge kimeendelea Dodoma leo November 19 2015, kikubwa kilichofanyika kwa siku ya leo ilikuwa ni kutajwa kwa jina la Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Jina lililoteuliwa na Rais Dk. Magufuli kushika nafasi hiyo ni la Mbunge wa Ruangwa, Majaliwa Kassim Majaliwa ambaye alikuwa Naibu Waziri wa TAMISEMI katika Serikali ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Majaliwa Kassim Majaliwa
Kiangalie kipande cha video fupi kikionesha Spika wa Bunge Job Ndugai alivyopokea bahasha yenye jina la Waziri Mkuu na kulitaja mbele ya BUNGE leo asubuhi.
 

No comments: