Kwa mara ya
kwanza kabisa Wakristo na Waislamu wali kusanyika pamoja kuomba na
kumshukuru Mungu kwa ajili ya uchaguzi wa taifa uliofanyika kwa amani
tarehe 25 Oktoba, 2015.
Tukio hili lilianzishwa na Mwenyekiti wa World Agape Ministries, Mwanzilishi wa Agape Television Network ( ATN ) na Mtume wa Kanisa la Agape Life Church, Rev. Dr. Vernon Fernandes na kushirikisha makanisa mbali-mbali na viongozi, Maaskofu/Mitume/ Wachungaji
na washirika wao pamoja na Kamati ya Amani na Usalama, Mkoa wa
Dar-es-Salaam chini ya Mwenyeketi Sheikh Mkuu, Al had Mussa Salum na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadiki.
Maombi ya shukurani yalifanyika kwa ajili ya Rais na Makamu wake pamoja na Wabunge na Madiwani wote.
Tukio hili la kihistoria lilihudhuriwa na Makamu Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mke wa Rais Mhe. Bi. Janet John Magufuli, jana tarehe 8 November katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam kuanzia saa 9.00 hadi saa 12.00 jioni.
Tunamshukuru Mungu. Biblia inasema katika Waebrania 12:14 - Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao.
Tukio hili lilianzishwa na Mwenyekiti wa World Agape Ministries, Mwanzilishi wa Agape Television Network ( ATN ) na Mtume wa Kanisa la Agape Life Church, Rev. Dr. Vernon Fernandes na kushirikisha makanisa mbali-mbali na viongozi, Maaskofu/Mitume/
Maombi ya shukurani yalifanyika kwa ajili ya Rais na Makamu wake pamoja na Wabunge na Madiwani wote.
Tukio hili la kihistoria lilihudhuriwa na Makamu Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mke wa Rais Mhe. Bi. Janet John Magufuli, jana tarehe 8 November katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam kuanzia saa 9.00 hadi saa 12.00 jioni.
Tunamshukuru Mungu. Biblia inasema katika Waebrania 12:14 - Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao.
with Samia Suluhu Hassan, Rev. Dr. Vernon Fernandes and Dr. Anny Fernandes at Diamond Jubilee Hall.
No comments:
Post a Comment