![]() |
-Awasimamisha kazi kamishna wa kodi Tiagi Masamaki na Habibu Mpozya wa kitengo cha huduma kwa wateja kutokana ubadhirifu wa fedha.
| Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na viongozi wa TRA na TPA |
======================================================================
TAARIFA:-
Waziri mkuu Kasim Majaliwa awasimamisha kazi kamishna wa kodi Tiagi Masamaki na Habibu Mpozya kitengo cha huduma kwa wateja kutokana ubadhilifu wa fedha kwa makontena zaidi ya 300 yaliyopotea.
Wengine ni Haruni Mpande -ICT, Hamisi Ali Omari na Eliachi Mrema incharge wa ICD na ameamuru wote wakamatwe uchunguzi uendelee.
Walohamishwa kituo na kupelekwa mikoani ni Nsajigwa Mwandege, Robert Nyoni na Anangisye Mtafya.
![]() |
| Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akikabidhi orodha ya makontena yaliyopotea na ambayo TRA haina taarifa nazo |
| Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa TRA na TPA. |
MSIKILIZE/PAKUA TAARIFA YA Mh,WAZIRI MKUU HAPO CHINI....


No comments:
Post a Comment