Friday, 8 January 2016

Gigy Money adai Jokate amemwibia Ali kiba wake.

Mmoja kati ya madada wanaouza sura katika video mbali mbali za kibongo ajulikanae kama Gigy Money amelalamika kuwa Jokate Mwegelo amemwibiwa bwana ake ambae ni hit Maker wa Nyimbo ya Nagharamia ajilikane kama Ali Kiba.

Akizungumza na mwandishi wa Global Publisher Gigy Money amesema Watu hawajui ila Kiba alikuwa wangu, Jokate kanipora“.

No comments: