Mbali na sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwa X
kuwa bado halijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku amefunga ndoa
na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye
pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma.
Chanzo-
EATV
No comments:
Post a Comment