Friday, 8 January 2016

MADEE AUONYESHA MJENGO WAKE TENA MTANDAONI.

Bongo flava inalipa kwa sasa, hili halina ubishi tena kufuatia maendeleo wanaoyaonyesha kila kukicha wasanii wa muziki Bongo.
Rais wa Manzese kutoka Tip Top Madee ‘Ali’ Madee, anaingia kwenye list ya mastaa wanaomiliki nyumba kali nchini.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Madee ambaye ni baba wa mtoto mmoja ametupia picha ya mjengo huo na kuipa ‘caption’ ya ‘my destination.

1 comment:

Shaks B said...

Enter your comment...Nice