Thursday, 7 January 2016

ukarabati wa Studio ya Nahreel “The industry”

Kati ya producers waliofanya hits kali 2015, Nahreel wa ‘The industry’ ni mmoja wapo, coz amefanya hit kama ‘Game’, ‘Nana’, ‘Don’t Bother’, ‘Never Ever’, ‘Baba Swalehe’ nk.
Kwasasa Nahreel anamalizia ukarabati wa studio yake ya ghorofa moja na yenye nafasi ya kutosha tofauti na ya mwanzo.

“Ukarabati huu unaoendelea unafanyika kwa kiwango kikubwa sana kuanzia mazingira hadi vifaa vya studio vimekuwa vya kisasa, lengo ni kutengeneza ngoma kali na zenye ubora zaidi, kuhusu price za kurekodi track zimebadilika kidogo ila nisingependa kuweka wazi upande huo coz unaweza ukaletewa kazi kubwa na msanii au mtu yoyote ikawa hailingani na bei niliyoitaja.”Nahreel

No comments: