Imekuwa ni stori iliyozungumziwa kimya kimya sana kuhusu Hamisa Mobeto kumchukulia mwanaume rafiki yake Zuhura Gora.
Hamisa ameandika ujumbe ujumbe ulioambatana na sauti ya Zuhura Gora kuhusu mahusiano yake na Majey
Kulingana na ujumbe ambao Hamisa ameuweka inaonyesha mwanadada huyo ndiye alikuwa kuwadi wa kumuomba namba yake na kumpa baba mtoto wake.
“Good thing wakati ndo naanzana tu na baba mtoto nilikupigia simu zuhura na kurecord conversation ili nimtumie baba mtoto na nilikua nimeisave nilijua siku tu yatatokea haya, Zuhura Gora you like a baby sis kwangu and a friend also, never in my life time have I nyakua mwanaume wa mtu either ameoa or not..,, so to set the record straight nilimkuta single hana mwanamke yoyote na sikumtafuta mimi, alinitongoza for almost miaka minne you can ask him, na the first time ananiona Zuhura ndo ulikuja nambia kwamba anaomba number yako wewe na mfanyakazi wake, kama alikua mwanaume wako ulikua na guts za kuchochea utongozaji mama ? “, aliandika Hamisa Mobeto.
Hivi karibuni Hamisa ameachana na mwanaume ambaye amezaa naye [Majey] na tetesi zilizopo ni kwamba mwanaume huyo ana mahusiano na msanii wa kike Elizabeth Michael (Lulu).

No comments:
Post a Comment