Thursday, 17 March 2016

PREZZO AWEKA BAYANA MAJIBU YAKE YA NGOMA{UKIMWI}

Rapa Prezzo amekuwa akiandamwa na maneno kuwa ni miongoni kati ya mastar wanaougua Ugonjwa hatari wa UKIMWI. Msululu mrefu wa warembo aliohondomola nao, umewafanya wananchi kuwa na shaka juu ya afya yake. Sasa star huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameamua kutundika karatasi ya majibu ya vipimo vya ‘miwaya’ inayoonesha yupo safi kabisa na damu yake haijaathirika

Know ur status, I just had to coz some of y'all talk too much #GodsSon #Alhamudulillah #Rapcellency

A photo posted by 👑جاكسون مكيني👑 (@prezzo254) on

No comments: