Thursday, 17 March 2016

Zanzibar updates: Mawasiliano ya viongozi wa CUF yavuja

Mawasiliano hayo hapo juu yanatajwa na chanzo chetu kuchukuliwa katika simu ya Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma wa CUF, Mheshimiwa Hamad Masoud Hamad, mara tu baada ya kukamatwa na Polisi akiwa nyumbani kwake Mbweni mapema jana asubuhi. Chama cha CUF bado hakijapokea taarifa zozote kuhusiana na alipo kiongozi huyu.




IKAENDELEA HIVI.......

No comments: