Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu
NSSF Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa jana
-Ametengua uteuzi huo kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu......
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es salaam.
Taarifa iliyotolewa usiku wa jana imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi.

HABARI - MARCH.4.2016 | TBC.Mhe. Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la hifadhi ya Jamii NSSF Dkt. Carina Wangwe.
Posted by Simu.TV on Thursday, March 3, 2016

No comments:
Post a Comment