Saturday, 9 April 2016

PICHA JINSI EFM WALIVYOWATAMBULISHA WATANGAZAJI WAO WAPYA GERALD HANDO NA PAUL JAMES.

Radio EFM ya jijini Dar es salaam imewatambulisha wanafamilia wapya wa Radio hiyo leo,Wanafamilia hao ni Watangazaji Gerald Hamdo Paul James na Abel Onesmo toka Clouds Media ya jijini Dar es salaam.

Sebo Chibaluma akiwatambulisha Gerald Hando,Paul James na Abel ONESMO.


Paul James,Dina Marios,Gerald Hando na Abel Onesmo katika picha ya pamoja baada ya utambulisho.


No comments: