![]() |
| Mh,Zitto Kabwe |
Stori kubwa ambayo imeingia kwenye headlines jioni ya May 20 2016 lakini pia inatarajiwa ndio itakaa katika kurasa za mbele za magazeti ya 21 2016, ni kuhusu uamuzi wa Rais Magufuli kumfuta kazi aliyekuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga kutokana na kuingia bungeni akiwa amelewa.


No comments:
Post a Comment