Mwimbaji kutoka Nigeria Tiwa savage amefunguka na kusema mume wake Tunji Balogun ndio msaliti mkubwa na muuza madawa ya kulevya.
Tiwa anasema Mume wake huyo ni teja wa dawa za kulevya na ananionea wivu kwa mafanikio yangu ya muziki. “Niko nyumbani napambana na pombe, dawa za kulevya na wanawake wa mume wangu, yeye ni kuona wivu tu kwa mafanikio ya muziki wangu”.
Wiki moja iliyopita Tunji Balogun, alimtuhumu Tiwa Savage kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Don jazzy, Dr Sid na 2face Idibia.
No comments:
Post a Comment