Thursday, 5 May 2016

NICK MINAJ ADHIHIRISHA KUJIWEKA KWA MEEK MILL MIA KWA MIA.


Rapper wa kike kutokea Young Money Nick Minaj, alijikuta katika wakati mgumu katika uchaguzi kuwa anaendelea kuwasiliana na rapper mwenzie wa Young Money Drake ambaye ni hasimu wa mpenzi wake Meek Mill, au asitishe ili kuokoa mahaba yake.
Mtandao wa Hollywood Life umeripoti kuwa, Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja ya Young Money. Taarifa ikufikie kuwa wawili hawa hawana mawasiliano toka mwezi June mwaka jana.

No comments: