Monday, 6 June 2016

MENNINAH AFUNGA NDOA TENA.

Menninah akiwa na mumewe mpya muda mfupi baada ya ndoa yao.

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’ na ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick, amefunga ndoa kwa mara ya pili. Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika.
Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo.
Ndoa ya Menninah na mtoto wa Waziri Muhongo.
Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza kutumia jina la Abdulkareem.
Hadi sasa bado Meninah anatumia jina la Meninah Abdulkareem.
Muimbaji huyo amepost picha ya ndoa yake mpya Instagram na kuandika:

No comments: