Wednesday, 8 June 2016

PICHA-Tattoo mpya ya mtoto ‘Royalty’ kwenye mgongo wa Chris Brown.


Rnb staa Chris Brown amekamilisha tattoo ya mtoto wake wa kike kwenye mgongo wake. Tattoo hii imekamilika June 5 2016 na inaonyesha sura ya mtoto wake wa kwanza Royalty.
Chris Brown amekuwa mtu tofauti baada ya kupata mtoto wake wa kwanza ambaye kwa sasa anamiaka 2 na tayari ameimbiwa album ya Royalty na baba yake.

No comments: