Monday, 27 May 2013

BRAND NEW BY ALAIN MULUMBA-KIBINDA NKOYI {REMIX}MP3

KAMA WEWE ULIKUWEPO MIAKA YA TISINI ENZI YA THE NEW SILENT INN-MWENGE,HUTALISAHAU JINA LA MKONGWE NA MUHASISI WA THE DIAMOND SOUND,WANA KIMALU MALU ALAIN MULUMBA NKASHAMA ALIYETESA SANA ENZI HIZO AKIWA NA DIAMOND SOUND KUPITIA UKUMBI HUO ULIOKUWA MAARUFU SANA KIPINDI HICHO,KWA SASA ALAIN MULUMBA NKASHAMA AMERUDI AKIWA NA BAND YA DIAMOND MUSICA NA HII NDIYO MOJA YA KAZI ZAKE MPYA"{IKIBINDA NKOI -REMIX}",WAWEZA ISIKILIZA AMA KUIDOWNLOAD HAPO CHINI,ILI UONE UWEZO ULIOKO NDANI YA MKALI HUYU.

No comments: