Saturday, 25 May 2013

HAPPYBIRTHDAY BABA JONII...

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JUZI KWENYE HAPPYBIRTHDAY YA ADAM MCHOMVU-AD+ a.k.a BABA JONII MTANGAZAJI NA MSANII WA MUZIKI WA HIPHOP-BONGO.
BABA JONII AKIMLISHA KEKI HAMIS MANDI a.k.a B12 MTANGAZAJI MWENZIE WA CLOUDS {XXL}
BABA JONII & B12.
BABA JONII AKIMLISHA KEKI MBONI MASIMBA WA MBONI SHOW YA EATV.
BABA JONII AKIMLISHA KEKI FATMAH HASSAN "Dj FETTY"
BABA JONII NA MBONI MASIMBA.

No comments: