KATIKA HALI INAYOLETA HAMASA KWA WASANII WENGINE,MWANAMITINDO MAARUFU DUNIANI KIM KARDASHIAN AMBAYE NI MZAZI MWENZIE NA MSANII MAHIRI WA HIPHOP DUNIANI,KANYE WEST AMEINGIZA SOKONI LOTION YAKE ALIYOIPA JINA LA "KARDASHIAN GLOW" MAALUM KABISA KWA KIPINDI CHA SUMMER,HUU HAPA MFANO WA CHUPA ILIYOBEBA LOTION HIYO.
WIKI KADHAA MWANADADA RIHANNA NAYE ALIZINDUA PERFUME YAKE ALIYOIPA JINA LA "REB'L FLEW",HAPO CHINI NI MFANO WA CHUPA ILIYOBEBA PERFUME HIYO.
No comments:
Post a Comment