Tuesday, 27 August 2013

WEMA SEPETU AWATAMBULISHA RASMI WASANII WAKE WAWILI NA NYIMBO ZAO.

MIRROR.
T.I.D
H BABA.
SAM MACHOZI.
BARNABA BOY.
DOGGO JANJA.
H BABA

JUMAPILI ILIYOPITA MISS TZ{2006}NA MMILIKI WA ENDLESS FAME CO{LTD},BIBIE WEMA SEPETU ALIWATAMBULISHA RASMI WASANII WAKE WAWILI "MIRROR" & "ASALI" AMBAO WANASIMAMIWA KAZI ZAO ZA MUZIKI NA YEYE KUPITIA KAMPUNI YAKE YA ENDLESS FAME,SHUGHULI ILIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA CLUB BILLICANAS YA JIJINI DAR ES SALAAM,KATIKA SHUGULI HIYO WASANII HAO MIRROR & ASALI WALIKUWA WAKIZITAMBULISHA SINGLE ZAO,MIRROR-"Baby"  NA "Mzuri" YA ASALI,HALIKADHALIKA  SHUGHULI HIYO ILIPAMBWA PIA NA T.I.D{SUKARI},H BABA,DOGGO JANJA,HAMIDU"NYANDU TOZZ",BARNABA NK.
MSANII MIRROR AKIFANYA YAKE KWENYE STEJI YA CLUB BILLICANAS JUZI.
NYANDU TOZZ.


No comments: