Thursday, 29 August 2013

BREAKING NEWS:-ASKOFU MKUU WA MAKANISA YA EAGT AFARIKI DUNIA.

ASKOFU MKUU WA MAKANISA YA EAGT TANZANIA,MZEE MOSSES KOLOLA,BABU YAKE NA MSANII MAHIRI WA KIKE WA MUZIKI WA GOSPEL NCHINI BIBIE FLORA MBASHA AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA,TAHARIFA ZA AWALI TOKA KWA MTOTO WA MAREHEMU MZEE KOLOLA,REV,DANIEL KULOLA AMBAYE AMETHIBITISHA KIFO CHA MAREHEMU MZEE KULOLA KUFARIKI LEO MCHANA KWENYE HOSPITALI YA "AMI",MSIBA UTAKUWA KANISANI TEMEKE EAGT,WAKATI TARATIBU ZA KUSAFIRISHA MWILI ZIKIENDELEA,KWA TAHARIFA ZAIDI ENDELEA KUWA NASI TUTAKUJUZA ZAIDI.
NB:-HII HAPA VIDEO MOJAWAPO YA MIKUTANO YA INJILI ILIYOWAHI KUFANYWA NA ASKOFU MOSSES KULOLA ENZI ZA UHAI WAKE,IANGALIE HAPO CHINI.

No comments: