MSANII MAHIRI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI TANZANIA REHEMA CHALAMILA A.K.A RAY C,AMEANZA MAZOEZI RASMI TAYARI KWA KURUDI UPYA KWENYE GAME LA MUZIKI WA BONGO FLAVA,RAY C NI MSANII ALIYEPATWA NA ATHARI ZA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA,NA KUPATA MSAADA WA MH,RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH,JAKAYA KIKWETE,KWA HIVI SASA HALI YA MSANII HUYU IKO SAWA KIAFYA NA TAYARI AMEANZA MAZOEZI RASMI KUONDOA NYAMA NYAMA ZA UZEMBE ZILIZOZIDI NA KITAMBI,BAADA YA MWILI KUONGEZEKA{UNENE}
RAY C NI MSANII ALIYEWAHI KUTAMBA SANA NA NGOMA ZAKE KAMA MAHABA YA DHATI,SOGEA SOGEA,MAMA NTILIE Ft GELLY & AT,BABY Ft CHIDI BEENZ,MOTO MOTO Ft FRENCH BOY{HISTORIANS-KENYA}.HIZI HAPA NI BAADHI YA PICHA ZIKIMUONYESHA BIBIE RAY C AKIJIFUA GYM.

No comments:
Post a Comment