 |
NGOMA INAJULIKANA KWA JINA LA "TWAENDANA" |
HII NDIYO ILE NGOMA ILIYOPIKWA NA PRODUCER DX,TOKA NOIZMEKAH,NGOMA IMEROKODIWA KIPINDI BENPOL ALIPOKUWA A-CITY,WAKATI WALIPOKUWA WAKISHOOT VIDEO YA MAMA YEYOO,YEYE NA GNACKO.
EMBU KISIKILIZE KIONJO KIDOGO CHA NGOMA HIYO AMBAYO INATARAJIWA KUACHIWA HIVI KARIBUNI.
No comments:
Post a Comment