Wednesday, 14 August 2013

SHEIKH PONDA ASOMEWA MASHTAKA AKIWA KITANDANI MUHIMBILI.

KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA TAASISI YA KIISLAM NCHINI SHEIKH PONDA ISSA PONDA,AMESOMEWA MASHTAKA YA UCHOCHEZI JUU YA KESI INAYOMKABILI NA MWANASHERIA WA SERIKALI ,AKIWA WODINI MOI,WAKATI ANAENDELEA NA MATIBABU,BAADA YA KUJERUIWA NA RISASI JUZI MJINI MOROGORO AKIWA KWENYE MHADHARA WA KIISLAM MKOANI HUMO,KESI YAKE HIYO ITAENDELEA PINDI ATAKAPOPATA NAFUU.  

No comments: