KATIKA HALI ILIYOWAACHA WENGI HOI,MKOANI SINGIDA KWENYE TOUR YA FIESTA 2013,INAYOENDELEA KATIKA MIKOA YA TANZANIA BARA,NI SHOW YA MWANADADA SHILOLE NA KUNDI LAKE LA MASTEJI SHOW,WALIOWAFANYA WATU KUDUWAA BAADA YA KUONA VIMBWANGA AMBAVYO KWAO NI NADRA SANA KUVIONA,IKIWEMO STYLE ZA AJABU ZIKIWEMO ZA KULALIANA MWANAUME NA MWANAMKE,ZILIZOPELEKEA MPAKA KUONEKA NGUO YA NDANI ALIYOKUWA AMEVAA MWANADADA SHILOLE MWENYEWE,ZAIDI YA STYLE ZA
MASTEJI SHOW WAKE AMBAO WALIKUWA WAMEPINDA MPAKA KUPILIZA,HIZI HAPA PICHA KADHAA ZA SHOW YA MWANADADA SHILOLE NDANI YA FIESTA SINGIDA JUZI.
NB:-HII HAPA VIDEO INAYOONYESHA VIZURI SHOW HIYO YA SHILOLE-FIESTA"SINGIDA".

No comments:
Post a Comment