MSANII DULLY SYKES AMEFUNGUKA SABABU ZA KUFUNGIWA VIDEO YAKE YA-"KABINTI SPECIAL"KUCHEZWA KWENYE TV STATION TOFAUTI NCHINI AKILIZUNGUMZIA HILO "DULLY" ALIDAI""Yaah ni kweli Video ya Kabinti Special imefungiwa kuchezwa katika TV
Station za hapa{BONGO}kutokana na maadili ya Kitanzania hii ni Kuhusiana yule dada Kuvaa
Swimming Cost,
PIA KIGEZO KINGINE KILICHOTUMIWA NA BASATA KUIFUNGIA VIDEO HIYO KWA MUJIBU WA "DULLY" MWENYEWE NI" Diamond" T-shirt yake aliyokua amevaa kwenye Video hii ilikuwa na Maandishi fulani ambayo hayana maadili ya Kitanzania.ALIDAI DULLY MWENYEWE AKIELEZEA VIGEZO VILIVYOSABABISHA VIDEO HIYO KUFUNGIWA.
PIA ZAIDI YA HAYO "DULLY" AMEFUNGUKA AKIDAI KUWA AMEJIPANGA VYEMA KWA MWAKA HUU WA 2014,KWANI MPAKA SASA AMESHAFANYA NGOMA NYINGI KALI,ZINAZOSUBIRI WAKATI KWA KILA MOJA KUACHIWA,AKILIWEKA SAWA HILO AMESISITIZA MASHABIKI WAKE KUKAA MKAO WA KULA KWA UJIO WAKE MPYA AKIWA NA MKALI "DIAMOND PLATNUMZ",AMBAYE ANATARAJI KUJA NAYE WAKIWA KWENYE SINGO ALIYOIPA JINA LA "CHIPOLOPOLO"
PIA "DULLY" AMEDAI KUTENGENEZA VIDEO MPYA ILIYOFANYWA NA DIRECTOR MAARUFU NCHINI "ADAM JUMA",AMBAYO PIA MUDA UKIFIKA ATAIACHIA KWENYE TV STATION ZA HAPA NCHINI.
PIA KIGEZO KINGINE KILICHOTUMIWA NA BASATA KUIFUNGIA VIDEO HIYO KWA MUJIBU WA "DULLY" MWENYEWE NI" Diamond" T-shirt yake aliyokua amevaa kwenye Video hii ilikuwa na Maandishi fulani ambayo hayana maadili ya Kitanzania.ALIDAI DULLY MWENYEWE AKIELEZEA VIGEZO VILIVYOSABABISHA VIDEO HIYO KUFUNGIWA.
Lakini serikali yetu nayo iangalie imefika wakati sasa muziki wetu
ubadilike nasisi tufike mbali kama wenzetu wanigeria na nchi nyingine Muziki
Una hela Nyingi sana endapo Serikali ikiamua kulifuatilia hili swala kwa kina".
ALISEMA "DULLY",
PIA "DULLY" AMEDAI KUTENGENEZA VIDEO MPYA ILIYOFANYWA NA DIRECTOR MAARUFU NCHINI "ADAM JUMA",AMBAYO PIA MUDA UKIFIKA ATAIACHIA KWENYE TV STATION ZA HAPA NCHINI.
No comments:
Post a Comment