” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi
watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats
jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari
wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku
moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea
at all… With all due respect stop talking shit bout my baby…. Cuz at da
end of da day he is da one I love nd I aint scared to.say it…. Nd I aint
gon.stop… Call me stupid, crazy or whatever but dats jus reality…. Take
it or leave it…. Im out… ”
Hii ni post mpya yake Miss{TZ}2006"Wema Abraham Sepetu" inayohusu mapenzi yake na msanii Diamond Platnumz Post inayowalenga wale wote wenye nia ya kuyavuruga Mahusiano yao,Post hii ya mwanadada Wema Sepetu ameiambatanisha na picha ya Boyfriend wake huyo{Diamond}akiwa usingizini huku uso wake ukiwa na alama kama za Ngeu ya kupigwa.
Post hii imetafsiriwa na wengi kuwa ni muendelezo wa Timbwili aliloleta mwanadada Wema Sepetu juzi STUDIO ambapo ilikuwa na kama hali ya fumanizi hivi,kati ya Boy wake huyo aliyekuwa STUDIO na mwanadada Victoria Kimani{KENYA}
Rejea habari tuliyoiripoti jana,habari iliyoelezea tafrani alilolileta mwanadada Wema Sepetu STUDIO hii ni baada kuliripotiwa taharifa za kuwepo Boy wake huyo Diamond Platnumz STUDIO na msanii wa kike toka nchini Kenya Victoria Kimani.ambapo wote kwa pamoja na msanii Ommy Dimpoz walikutwa na Wema Sepetu STUDIO na atimaye Wema kuanzisha timbwili akihisi kuzungukwa na Boy wake huyo{Diamond}.Kwakutopewa taharifa na Diamond kuwepo studio na Victoria Kimani,mwanadada ambaye hapo nyuma MEDIA nyingi ziliripoti kuwa wawili hao wako kwenye mahusiano ya kimapenzi.

![]() |
Ommy Dimpoz,Victoria Kimani & Diamond Platnumz.{STUDIO} |
No comments:
Post a Comment