Thursday, 8 May 2014

BAADA YA KUPATA TUZO SABA{7} ZA KTMA-DIAMOND AMSHUKURU WEMA NA MAMA YAKE.

DIAMOND PLATNUMZ & WEMA SEPETU Ni Kati ya vijana wanaofuatiliwa zaidi kwa sasa sababu ya kazi, drama, stori na maisha yao kwa ujumla jinsi wanavyo yaendesha. Diamond ametoa shukrani kwa Wema na Mama yake mzazi kupitia akaunti yake ya Instagram , akiandika kama ifuatavyo,
”  They say Behind every Man’s success there is a strong Woman… Now these are my Starrings…without forgetting my all luvyly and Beautiful, Aunties and sisters #LuvlyMum#LuvlyBaby (Wanasemaga katika kila Mafanikio ya mwanaume basi kuna mwanamke imara yuko nyuma… Hawa sasa ndio Mastarring wangu, wakishirikiana na ma dada zangu, Aunties, na mawifi pia lol! #LuvlyMum#LuvlyBaby “alifunguka Diamond Platnumz.

No comments: