Hivi Majuzi wakati Tour ya Diamond alipokuwa New York, Promoter wake
pamoja na Yeye mwenyewe walikaribishwa na Mheshimiwa Rais ambapo mbali
na mambo mengine Mheshimiwa alimpongeza Diamond katika mafanikio yake
ikiwa ni pamoja na Kuchaguliwa kuwania tuzo za BET nchini
Marekani.Rais hakuwahi kupata nafasi ya kumpongeza kijana huyo kwani
wakati matangazo yalipotoka Diamond alikuwa nje ya nchi.Mheshimiwa pia
alimkutanisha Diamond na aliyekuwa Raisi wa Def Jam Record/Warner Bros
Music group Mr Kevin Liles ambaye alionyesha nia ya kufanya mambo
makubwa na Diamond.
Kevin ni Multi Millionare mwenye utajiri wa zaidi ya Dollar Milioni 60
ambaye kwa sasa ni manager wa wanamuziki Trey Song,Big Sean,Ty Dolla
Sign,Kuna uwezekano mwanamuziki Diamond akawajoin Hao hivi
karibuni..waingereza wanasema(hard work pays)Congratulation to Diamond
for hard work and Thank you Mr President for Supporting your Youths.
No comments:
Post a Comment