Wednesday, 9 July 2014

WORLD CUP 2014 BRAZIL YATOLEWA KWA AIBU KUBWA.

#KombeLaDunia2014: BRAZIL YAPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI

-Brazil yapokea kichapo cha Mbwa mwizi katika mchezo wao wa jana na Ujerumani baada ya kutandikwa bao 7 huku wao wakiambulia bao 1 walilofunga dakika za majeruhi.

- Huzuni ilitanda kwa mashabiki wa Timu ya Brazil na wengine kububujikwa machozi baada ya kushindwa kuvumilia kichapo cha bao 7 toka kwa Ujerumani.

- Mshambulizi wa Ujerumani Miroslav Klose ameweka rekodi ya kuwa mfungaji mabao mengi zadi katika historia ya kombe la dunia.

Wabrazil wengi wamelalama kuwa Kutokuwepo kwa Neymar na Thiago Silva kumechangia kiasi kikubwa kwa Brazil kufungwa bao 7 -1 na Ujerumani. 





NB-VIDEO INAYOONYESHA JINSI MCHEZO ULIVYOKUWA PAMOJA NA MAGOLI YOTE JINSI YALIVYOINGIA,



No comments: