Thursday, 14 August 2014

BRAND NEW SONG- Bongo Hip Hop-Fid Q Feat. P Funk Majani

Leo ni siku ya kuzaliwa Kwa rapper toka Mwanza, Fid Q  na ameamua kuachia wimbo wake Mpyaa‘Bongo Hip Hop’ aliomshirikisha P-Funk Majani katika kusherehekea siku hiyo.
Wimbo huu umetayarishwa na Majani ndani ya Bongo Records na utakuwa sound track kwenye documentary ya rapper huyo aliyoipa jina la ‘Bongo Hip Hop’.
Isikilize Hapa>>

No comments: