Muigizaji wa kike, Gabrielle Union na mpenzi wake Dwyane Wade waliofunga ndoa August 30 huko Miami wako katika mapumziko na fungate aka honeymoon katika maeneo ya Serengeti Tanzania na Maldives. siku ya Jana, wawili hao walishare kwenye mtandao wa Instagram baadhi ya picha za safari yao wakijiachia ufukweni mwa bahari ya Hindi na kwenye mbuga ya Serengeti nchini Tanzania.
"When the Indian Ocean is ya swimming pool... You dive in! But first... Play that @beyonce baby.” Aliandika kwenye picha hii.
No comments:
Post a Comment