Thursday, 11 September 2014

PICHA-Rais Kikwete alipokutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania {TCD}mjini Dodoma Juzi.

Rais Kikwete akiwa na ujumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya mazungumzo nao Ikulu Ndogo mjini Dodoma juzi

- Ni katika kusaka maridhiano juu ya Mchakato wa Katiba Mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano{TZ}Jakaya.M.Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma Juzi Sept-08-2014 tayari kwa kikao cha pili na ujumbe wa kituo cha Demokrasia Tanzania{TCD}MJINI DODOMA.



Rais Jakaya.M.Kikwete akizungumza na wajumbe wa kituo cha Demokrasia{TCD}Ikulu ndogo mjini Dodoma juzi.


Rais Jakaya.M.Kikwete akiwa na ujumbe wa kituo cha Demokrasia nchini{TCD}muda mfupi baada ya kumalizika kwa mazungumzo ya awamu ya pili juu ya mchakato wa Katiba mpya.


No comments: