Tuesday, 11 November 2014

MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA

MBUNGE WA MBEYA VIJIJINI AANGUKA GHAFLA BUNGENI JANA

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mchungaji Luckson Mwanjale akiwa amebebwa na wahudumu wa afya mchana wa jana baada ya kudondoka ghafla ndani ya jengo la Ukumbi wa Bunge.Chanzo cha kuanguka kwake bado hakijafahamika.

No comments: