Monday, 17 November 2014

DIAMOND Vs WEMA {INSTAGRAM}>>>YAANI NI FULL MAFUMBO NA TAARABU ZA KUFA MTU

Wema:-"My momma always told me to listen to what my heart desires, and Iam doin jus dat".... Baada ya hapo Diamond; akajibu hivi;
"Bahari ishachafuka ndugu zangu, ntafutieni mfuko nitapike...."Sijui ndio basi tena na Wema Sepetu au vipi yetu macho tu. Acha movie iendelee!

No comments: