MRISHO NGASSA AFUNGA NDOA YA PILI
PICHA:-Mshambuliaji
wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa baada ya kufunga ndoa na Ladhia
Mngazija Tegeta mjini Dar es Salaam leo. Hii ni ndoa ya pili kwa
mchezaji huyo wa Yanga SC, ambaye anaoa baada ya kuachana na mkewe wa
awali.
No comments:
Post a Comment