Friday, 9 January 2015

NIKKI MBISHI AMJIBU NAY WAMITEGO KWA FREESTYLE.

BAADA YA KUTANGAZA KUSTAAFU MUZIKI WA HIPHOP NA KUAHIDI KUJIKITA ZAIDI KWENYE KILIMO,WENGI WAMEKUWA WAKITOA MTAZAMO TOFAUTI JUU YA UAMUZI WA MSANII NIKKI MBISHI ,KIASI KUFIKIA MSANII MWENZIE NAY WAMITEGO ALIYEWAHI KUWA HASIMU WA MSANII HUYO KUONGEA MANENO YALIYOCHUKULIWA KAMA KEBEHI KUWA NIKKI MBISHI AMESANDA GAME ,
NAYE NIKKI MBISHI KUPITIA SANAA AMEMJIBU NAY WAMITEGO KUPITIA TUNGO YA MITINDO HURU{FREESTYLE},
ISIKILIZE MWENYEWE HAPO CHINI:-

No comments: