Ukiona manyoya ujue KUKU Kachi.......{Malizia mwenyewe}
Atimaye zile tetesi na hisia za kwamba mwigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zime kuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 99, hii ni kutokana na picha walizopiga jana usiku wakiwa bafuni huku wema akiwa amevalia taulo “flan amazing” huku kijana Ommy akionekana kwa mbaliii kama ananawa mikono.
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema kindakindaki..kwani comments na likes zilivyo tiririka utazani picha imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wamamane.japo Picha zingine ziliendelea kutiririka Mitandaoni zikiwaonyesha couples hao wakiwa kimalovee kabisa.
Haya jamani sisi tunawatakia kila la kheri, kwani wengi wamesema hii ni couple flan amazing....
NB:-KWA HABARI HII MSIKILIZE OMMY DIMPOZ MWENYEWE AKIFUNGUKA JUU YA PICHA HIZI:-

No comments:
Post a Comment