Friday, 6 March 2015

PICHA-Mh,RAIS J.M.KIKWETE AZINDUA RASMI STUDIO MPYA ZA AZAM TV.

Rais Jakaya Kikwete leo amezindua studio mpya za kisasa zaidi kuliko zote Afrika na Kusini mwa Jangwa la Sahara zinazomilikiwa na Azam TV.... Katika uzinduzi huo naibu Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media ndg Tido Mhando amesema wazo la kuanzishwa kwa Azam TV lilitoka Azam FC...
Kama mashabiki wa Azam FC hatuna budi kujivunia klabu yetu kwani ilizaa wazo lililoleta mapinduzi makubwa ya tasnia ya habari




No comments: