![]() |
Bw,Joseph Shamba a.k.a "Vengu" |
Taarifa ambayo Clouds FM imeipata baada ya kuwasiliana na Seki pamoja na Joti ni kwamba hakuna ukweli wowote kuhusu taarifa za msanii huyo kufariki.
“Kuna taarifa zilizosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa muigizaji wa vichekesho #Vengu kafariki dunia.. Kwa mujibu wa Meneja wake #Seki na muigizaji mwenzake #Joti wamekanusha taarifa hizo na kusema yuko hai.
Source-Clouds Media.
No comments:
Post a Comment