Wednesday, 25 March 2015

PICHA;-JINSI MAJAMBAZI WAKITALIANO WALIVYOTAITIWA KWENYE TUKIO LA KIJAMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM..

MMOJA WAO AKIONYESHA JERAHA ALILOPIGWA RISASI
WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIA
Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.
SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,

 
GARI WALIYOTUMIA KUPORA

POLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWATIA NGUVUNI
WAKIPANDISHWA KWENYE GARI WOTE WAWILI


No comments: