Baada ya Magazeti, Blogs na vituo vya radio kuripoti mara kadhaa tetesi za
mapenzi ya mastaa Nay wa Mitego na Shamsa Ford wa bongo movie baada ya
picha kadhaa za Shamsa akiwa nyumbani kwa Nay Wa Mitego kusambaa. Stori
hii ilivuma zaidi baada ya picha ya busu la Nay Wa Mitego na Shamsa
kuwekwa mtandaoni na Diamond huku Shamsa akisingizia kuwa ni filamu inakuja hivi karibuni.taarifa ambazo wakali wa ubuyu mjini wamezikataa kwa nguvu zote,wakisisitiza kuwa ukaribu wa mastaa hao wawili ni wakimapenzi,
Hivi karibuni kupitia mtandao wa Instagram,mume wa Shamsa ametumia kurasa yake ya Instagram kumpa sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.
Hivi karibuni kupitia mtandao wa Instagram,mume wa Shamsa ametumia kurasa yake ya Instagram kumpa sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.

No comments:
Post a Comment