Friday, 17 April 2015

KAJALA AONGELEA TATIZO LA KUTOKUZAA KWA WEMA NA UJIO WA MOVIE YAKE MPYA "PISHU"

Atimaye muigizaji Kajala Masanja kutoka bongomovie Tanzania, azungumzia ishu kubwa ya Wema Sepetu sasa hivi kwenye headlines,issue yakutopata mtoto japo hawapatani, lakini pia kajala amezungumzia juu ya ujio wa movie yake mpya "Pishu".
Bonyeza play kwenye hii video hapa chini umsikie na kumtazama Kajala mwenyewe akiongea.

No comments: